IMANI YA CCM: MASHARTI YA UANACHAMA: MALENGO YA CCM: Imani za CCM zimejengwa chini ya misingi ya usawa kwani binadamu wote ni sawa. Ni rahisi kujiunga na CCM kwani masharti yetu yanamlenga mwananchi yeyote muadilifu. CCM kinalenga kumuwezesha mwananchi yeyote wa Tanzania kupata maendeleo